Friday, 30 May 2014

TANZIA: MWANAFUNZI WA UDSM AKUTWA AMEFARIKI HOSTEL!

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM AMEKUTWA AMEFARIKI HOSTEL Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel, Inasemekana aliwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika kidogo baada ya vipindi, baada ya muda wenzake walimkuta kitandani akiwa kashafariki

No comments:

Post a Comment