Friday, 23 May 2014

Naogopa Sapp

Kipindi kama hiki ni kipindi ambacho wanafunzi hasa wa chuo wanahangaika sana kusoma kwa kuwa ndio mwisho wa  semester. Ki ukwel, hakuna kitu kigum kwa wanafunz kama kipind hiki, course work hazisom, mtihan next month! Mungu wabariki wanafunz wote Tanzania!!

1 comment:

  1. dah kwel aisee...n kpnd cha KULIKONI na SINTOFAHAMU HATMA YANGU

    ReplyDelete