Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1
2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa
mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe
aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo
hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
millardayo.com inampa pole Zitto Kabwe
kwa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza
mama, Mungu ampe nguvu katika kipindi
hiki cha majonzi na taratibu zote za
msiba zitakazopatikana nitakufikishia.
No comments:
Post a Comment