Sunday, 30 November 2014

This is Diamond PlatnumzWCB

Diamond platnumz aibuka tena na tuzo nyingi za Channel O, msanii juyu maarufu hapa tanzania na Afrika kwa ujumla amejinyakulia tuzo hizo ambazo zimafanyka jana usiku huko South Africa! Kwa ujumla this guy is good, we like him and we tell him to keep it up!!! All the best Chibu@Dangote!

Pictures by Millardayo.com